Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 28, 2012

WAKAZI WA KAHAMA WAFURAHIA MATAMASHA YA TIGO.Msanii wa Sarakasi kutoka jijini Dar es Salaam akionyesha uwezo wake wa kijikunja mbele ya mashabki waliofurika kwenye viwanja vya Stendi ndogo Mjini Kahama Shinyanga, ambapo wasanii hao wameambatana na Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya H. Baba, kwenye matamasha ya hayo ya Tigo.
Wakazi wa Kahama Waliohudhuria kwenye tamasha hilo.

H.Baba akitumbuiza mashabiki wake kwenye tamasha hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...