Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 24, 2012

MGEJA, LIANA, YAMUNGU NA WENGINE WENGI WAHUDHURIA AMAZISHI YA MPENDWA WILLY EDWARD SERENGETI LEO


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mgeja akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Willy Edward mda mfupi kabla ya maziko nyumbani kwa marehemu Molotongo, Mugumu, Serengeti
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacquline Liana akitoa heshima za mwisho
 Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, James Yamungu akiaga mwili wa marehemu Willy Edward
Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu Willy Edward
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda akiwaongoza wahariri kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mhariri mwenzao marehemu Willy Rdward
Mjane wa marehemu Willy Edward, Rehema, akimbusu mumewe alipokuwa akiaga muda mfupi kabla ya mazishi
Mzee Edward Ogunde, baba mzazi wa marehemu Willy Edward akilia wakati wa kuuaga mwili wa mwanawe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...