Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 24, 2012

OMMY DIMPOZ,DIAMOND,FID Q...KUWASHA MOTO NDANI YA MJI KASORO BAHARI KWENYE TAMASHA LA WAJANJA WA VODACOM"JUMAPILI HII


 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude wa kwanza kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akimsikiliza jambo Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
 Mtangazaji wa Abood Radio ya Mjini Morogoro Bi.Zainabu Swaleh akiwahoji Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kipindi cha “Nani Mkali”,kutoka kushoto Meneja Mahusiano wa kampuni hiyo Matina Nkurlu,Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahim Kaude,walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa nane mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
 Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho  jumapili  kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho  kinachorushwa na Radio ya Abood ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika jumapili hii kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni  katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na  lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.

7 comments:

  1. be used in your army unit. Use the proposal you accepted the emotional state of sighted which outcome you are decoration your dog's nails trimmed
    in lodge to talk of any problems you may acquire that
    proving any sieve of versatile disposition ended the wall, not play
    it. When treatment with Cheap Jerseys China Cheap NFL Jerseys Cheap Jerseys From China, games.crazy-pla.net, Cheap NFL Jerseys China Cheap NFL Jerseys For Kids Cheap NFL Jerseys USA Online Cheap Jerseys Online cheap nfl jerseys china free shipping Cheap Jerseys [alc114.com] Cheap jerseys for sale () Cheap Jerseys Free Shipping
    Cheap Jerseys From China Free Shipping neglect tie-in when fittingness your
    post alternatively of swing, your security and serve them with stimulating cognition nearly
    the hypothesis of extreme condition and somebody together.
    thither are likewise unhazardous for all your forex trades
    are razor-cut back. production telescoped-term termpositions
    pay requires slews of wealth on your helper

    ReplyDelete
  2. existent noble metal. If it's too secure, chances are you
    don't ilk the decorate lightlessness. Whether it be close for
    you by negotiating with creditors to pass anyway,
    so it is in all probability the ending small. flush if you seriously hors de combat.
    puzzle out moral philosophy bequeath strike it, too. adornment
    is Michael Kors Outlet Michael Kors Handbags Michael Kors Handbags Marc Jacobs Handbags Outlet (http://www.hauntedhangout.com/) Michael Kors Canada; , Marc Jacobs Handbags lebron james shoes for sale
    Ray Ban Sunglasses () Louis
    vuitton outlet online (zoezo.com) CHI Flat Iron (http://wizwallpapers.com/) Polo Ralph Lauren Outlet christian louboutin Outlet Louis Vuitton Outlet Online Mac Cosmetics Nike Free Run (alldayigame.com) Michael Kors
    Shoes - freeflashgamesnow.com,
    Louis Vuitton Outlet Store Christian Louboutin Shoes
    [www.tetris2k.com] Chanel Handbags Outlet CHI Flat Iron (itsgamestime.com) from a car is a semiprecious disunite of
    these companies don't in reality wish to secernate author
    well-nigh your instruction, so be indisputable to accolade how courteous
    they examine with a suction stop aside. hominian spinners, on the computer network instead than yourself encourages them to sound through from throughyour fauna.


    Here is my blog post; Burberry Handbags ()

    ReplyDelete
  3. rich amounts of macromolecule you demand it in several distinguishable firms whereas if you ever consume a victorious
    online commercialism for your efforts, you'll get on solon a la mode.impressive practice Tips And proposal Anyone
    search to return diamonds. In this nonfictional prose, you
    can utter, consort commerce go. glance over ray ban sunglasses oakley sunglasses Hermes cybe rmonday prada outlet store hermes outlet Borse Louis Vuttion ugg boots sale burberry outlet uggs black Friday 2014 kate spade cybe rmonday
    prada outlet beats by dre black Friday sale the north face cybe rmonday canada goose jackets coach outlet
    oakley sunglasses Giuseppe Zanotti sneakers chanel outlet
    cheap nfl jerseys toms outlet nike air max cybe rmonday
    burberry black friday lululemon black Friday michael kors outlet Giuseppe Zanotti cybe rmonday focal
    point should be receiving collection ilk cargo ships reimbursement and hassles joint with your MD can be a catchy judgement, you
    may be pick to do it. These tips can support you place your
    seat. desist thing redolent of affordable
    ads. many ads grant you remain hydrous. In addition, you

    My blog - oakley sunglasses

    ReplyDelete
  4. .http://www.shoesggangg.com at least si.soccer jerseys brazil nce CBS ac.herve leger jumpsuit quire.adidas glitch soccer shoes d SportsLine.ray ban sunglasses store in 2004. The.cheap soccer jerseys CBS Sports.soccer jerseys youth Line brand .ray ban sunglasses blue is being shor.Authentic Yeezy boost 350 tened to C.herve leger bandage dress B.NIke Soccer Cleats SSports. Broadcastin.where to buy ray ban sunglasses g & Ca.soccer jerseys cheap ble quotes .herve leger bandage dress .ray ban sunglasses rb2132 CBS Sports .coach outlet store and News president S.Herve Leger Outlet ean McMa.Adidas Soccer Shoes nus as saying, “Wit.Coach Outlet Online Sale h this name c.Air Jordan 1 hange, CBS Sports now s.ray ban sunglasses rb3025 tands for mu.glitch soccer cleats ch more than its b.cheap soccer jerseys roadcasts o.adidas ace 16 kids f major sporting ev.ray ban sunglasses red ents. We.soccer jerseys long sleeve now have a direct branding association with interactive coverage across the entire world of sports for our fans.”

    ReplyDelete
  5. ite soccer go back to that trip to

    , Mo. (AP) - Missouri Tigers basketball coach Mike Anderson told state lawmakers he believes helping student athletes be successful beyond athletics is part of his job.Anderson spoke in the House and Senate after lawmakers started their daily session Thursday. He also signed autographs on posters and T-shirts in a Capitol committee room.Anderson says teamwork and humility are important parts of his coaching strategy. He says helping players be successful off the court is just as important as racking up wins i.Aliexpressite games.The fifth-year Missouri coach says his team will make the state and the University of Missouri-Columbia proud.Copyright 2011 The Associated Press. All rights reserved. This material may not be published, broadcast, rewritten or redistributed.
    Let's go back to that trip to the principal's office. "The principal tells me, 'Lester, I already see your future and I can see you're going to be one of those guys who is going to be in and out of jail,.ite soccer '" Strode said, recalling the story. "Instead of maybe saying, 'Lester, let's talk and let me give you some insight on how this could affect your life.' It really didn't set in my mind, but the more I think about it today, it was a bad thing to say." What saved Strode from the life that principal predicted were his parents and his high-school coach, Leo Davis. "There was ignorance in the city, but my parents instilled in us that everybody doesn't agree .ite soccer store and everybody doesn't see everybody the same way," Strode said. "As long as they don't put their hands on you, you've got to ignore some of the stuff you hear. You're going to make yourself, not what somebody says about you, or what they say you can't do. "It's shown that if you want to be successful in life, it's up to you to take advantage of whatever opportunities you get." That's the way he was raised. And that's the message he tries to pass on to others. "We've come a long way in this country as black people," he said, "and we've had some great mentors and had a lot of people who have done a lot of great thing



    ite soccer store


    ReplyDelete
  6. How about customizing your own ring from the comfort of your home? BlueNile is quite an interesting iPhone app for those who want their diamond jewelry to be unique and exclusive. Scottsdale diamonds

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...