Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 26, 2012

TBL YAKAGUA MRADI WA MAJI WA SH. MIL. 25 GEITA


Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve
Kilindo (aliyeweka miwani kifuani) akifurahia jambo wakati  Mkuu wa Wilaya ya
Geita , Manzie Mangochie akijaribu moja ya pump ya visima vya maji katika mradi
unaojengwa kwa sh. milioni 25 na TBL katika Kijiji cha Mkolani I, Geita, viongozi
hao walikwenda kukagua mradi huo juzi.
 
Mkandarasi wa mradi wa visima vya maji, Enock Kangasa akisukuma pump ya
moja ya visima vya maji mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie 
(kushoto), kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa
gharama ya sh. milioni 25 katika Kijiji cha Mkolani I, wilayani Geita juzi.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...