Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 27, 2012

ASHA BARAKA AFANYA ZIARA FUPI KAMPUNI YA FREE MEDIA LIMITED


Wafanyakazi wa gazeti la Tanzania Daima wakiwa na Mkurugenzi  Mtendaji wa bendi ya The African Stars Twanga ‘Pepeta’  Asha Baraka ‘Iron Lady’wa pili kulia wakati alipofanya ziara katika ofisi za gazeti hilo zilizopo mtaa wa mkwepu jijini Dar es salaam
( Picha na Daniel Mwita).
 
Mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima kushoto akimweleza jambo  Mkurugenzi  Mtendaji wa bendi ya The African Stars Twanga ‘Pepeta’  Asha Baraka ‘Iron Lady’alipofanya ziara katika ofisi za gazeti hilo zilizopo mtaa wa mkwepu jijini Dar es salaam.
( Picha na Daniel Mwita).

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...