Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 25, 2012

Simu yasababisha gari kuteketea kwa moto!


FULLSHANGWEBLOG inashuhudia muda huu Moto unaoteketeza gari aina ya Mercedes Benz ML Class ambalo namba zake hazikupatikana mara moja baada ya moto kuwa mkubwa, Gari hilo lilipoteza mwelekeo na kuingia mtaroni na kushika moto. Ajali hiyo imetokea mchana huu katika barabara ya Kilwa eneo la Tanesco, Mivinjeni. Mmoja wa mashuhuda ambaye alikuwa na gari lingine nyuma ya gari hilo kabla ya ajali, amesema dereva wa gari hilo alikuwa akiongea na simu kabla ya ajali hiyo! TAHADHALI: USITUMIE SIMU UKIWA UNAENDESHA!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...