Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, June 28, 2012

SERENGETI FIESTA 2012 MUONEKANO MPYA, BURUDANI ILE ILE BHAASSI


 MWENYEKITI WA TAMASHA LA FIESTA 2012 SEBASTIAN MAGANGA AKIZUNGUMZA  LEO MCHANA KATIKA UZINDUZI RASMI ULIFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM.
 WATANGAZAJI MAARUFU WA REDIO CLOUDS WAKIWA MZIGONI MILLAD AYO NA BARBARA HASSAN
 WADAU MBALIMBALI WAKIFUATILIA UZINDUZI HUO ULIOFANYIKA LEO MCHANA.
 MILLAD AYO AKIMHOJI JAMBO  MWIMBAJI WA MUZIKI WA KIZAZI CHA SASA MWASITI ALMASI .
 ZAWADI ZENYE THAMANI YA ZAIDI YA SHILINGI MILLIONI MIA HAMSINI ZITAWEZA KUTOKA KWA MASHABIKI NA WAPENZI WA FIESTA, YAKIWEMO

1: MAGARI AINA YA TOYOTA VITZ SITA KUTOLEWA KILA MMOJA IKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILLIONI NANE.

2:  PIKI-­‐PIKI (BODA-­‐BODA) KUMI NA NNE KILA MOJA IKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILLIONI MOJA NA NUSU

3: SIMU 50 ZA BLACKBERRY KILA MOJA IKIWA NA THAMANI YA SHILINGI LAKI SABA.

4: NOKIA DABO-­‐DABO ZENYE TOCHI MIA HAMSINI NA LAINI MBILI ZENYE THAMANI YA SHILINGI 80,000 KILA MOJA.

5: ZAWADI MBALIMBALI KUTOKA SERENGETI PREIMIUM LAGER NA CLOUDS MEDIA GROUP ZIKIWA NI PAMOJA NA TSHIRTS, BEER ZA SERENGETI PREIMIUM LAGER TIKETI ZA BURE NA FEDHA TASLIMU KWA PAMOJA VYOTE VIKIWA NA THAMANI YA SHILINGI MILLIONI20.  

PRIMETIME PROMOTIONS,CLOUDS MEDIA GROUP NA MDHAMINI MKUU SERENGETI BREWERIES LIMITED KUPITIA BIA YAO SERENGETI PREMIUM LAGER; KWA KUSHIRIKIANA NA GAPCO TANZANIA LIMITED NA PUSH MOBILE, WANAYOFURAHA KUBWA  KUKULETEA  SERENGETI  FIESTA  2012,  IKIWA  NI MAADHIMISHO YA MIAKA  11 WA TAMASHA HILI.

SERENGETI FIESTA  NI MSIMU MAHKSUSI KWA AJILI YA WAPENZI NA WADAU WOTE WA MUZIKI, UTAMADUNI, NA BURUDANI AMBAPO KWA KARIBU MWEZI MIWILI WATANZANIA KWENYE MIJI ZAIDI YA KUMI NA MBILI KUZUNGUKA NCHI HII,    WATAWEZA KUENDELEZA MSIMU WAO WA DHAHABU KWA KUSHUHUDIA JUKWAA LENYE UWELEDI NA MVUTO KUTOKANA     NA     BURUDANI     HADHARA     YA     WASANII     MBALIMBALI WANAOCHIPUKIA NA WENYE MAJINA NA UMAARUFU MKUBWA

SERENGETI FIESTA 2012 ITAANZA KWA SHUGULI NA MASHINDANO YA AWALI KUANZIA TAREHE 30 JUNE HADI TAREHE 17 JULAI MWAKA HUU NA KUFUATIWA NA TAMASHA LENYEWE KATIKA MIJI MBALIMBALI TANZANIA, IKIWEMO   TABORA   NA   SINGIDA   KWA   MARA   YA   KWANZA,   AMBAPO SERENGETI FIESTA INATARAJIWA KUANZIA MJINI MOSHI, MKOANI KILIMANJARO TAREHE 24 AGOSTI NA KUENDELEA KATIKA MIJI MINGINE HADI  TAREHE 6 SEPTEMBA 2012, KILELE KIKIWA NI JIJINI DAR-­‐ES-­‐SALAAM.

KAULI MBIU YA SERENGETI FIESTA 2011 NI “MUONEKANO MPYA-­‐BURUDANI ILE ILE...BAAAAS”, HII INATOKANA NA KWAMBA SERENGETI FIESTA IMEWEZA KUWA SEHEMU MUHIMU YA BURUDANI KATIKA MAISHA YA VIJANA WA KITANZANIA KWA MIAKA KUMI YA UHAI WAKE, HIVYO MWAKA WA 11 KAMATI KUU YA MAANDALIZI YA SERENGTI FIESTA IMEDHAMIRIA KUONGEZA UFANISI WAKE KWA KUHUSISHA MAMBO MAPYA YENYE KULETA TIJA KWA WAPENZI  NA  WAFUATILIAJI  WA  SERENGETI  FIESTA  2012.

3 comments:

 1. DIAMOND VIDEO YAKO IMETISHA KALI KINOMA

  ReplyDelete
 2. Hello i am kavin, its my first occasion to commenting anywhere, when i
  read this paragraph i thought i could also
  make comment due to this sensible paragraph.
  My blog post ... bc online casino

  ReplyDelete
 3. Top 12 Fastest Bikes in The World Owning or riding a superfast motorcycle is the dream of many But the question arises that which bike would you buy if you have enough money in your bank

  ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...