Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 27, 2012

Mzee wa Viponzo GAZETI LA MAJIRA NATHAN MPANGALA akijipiga msasa USMdau Nathan Mpangala mmoja wa wachoraji maarufu wa katuni nchini yuko nchini Marekani katika chuo Kikuu cha Tufts University, Massachusetts,  akihudhuria kozi fupi inayoitwa Nonviolent Conflict and Social Movement.Ni kozi inayohusisha waandishi wa habari, wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali duniani kote Fullshangweblog inamtakia kozi njema mdau Nathan na urejee salama kulitumikia taifa lako Tanzania.

Hapa akiandika mambo muhimu yanayojadiliwa  na kufundiswa katika kozi hiyo inayoendelea nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...