Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, June 25, 2012

FID Q NA WENZAKE WAFUNIKA KWENYE TAMASHA LA WAJANJA WA VODA COM MOROGORO


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na madansa wake wakati akitumbwiza ishirini na tano na kutumia kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo  linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.

.Umati wa wakazi wji wa Morogoro waliojitokeza katika  Tamasha la”WAJANJA”linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,Tamasha hilo litaendelea kufanyika  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo  linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.
Msanii mkali aliopo kwenye chati hivi sasa Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi wa mji wa Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom Tanzania hapo jana,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtyandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta akisakama jukwaa kama vilivyo mjini  Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo  linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Morogoro kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo jana,Tamasha hilo  linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea  katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...