Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, June 27, 2012

KINYWAJI CHA GRAND MALT KUDHAMINI TAMASHA LA FILAMU TANZANIA 2012


 Msanii wa Filamu Nchini JB akizungumzia Tamasha hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sofia Productions,Mussa Kisoky akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa ya maandalizi ya Tamasha hilo la Grand Malt Film Festval Tanzania linalotarajiwa kufanyika jijini Tanga jumamosi hii.Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL), Fimbo Butallah na kulia ni Mmoja wa Wacheza Filamu hizo watakaoonyesha kazi zao katika Tamasha hilo,Vicent Kigosi a.k.a Ray.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...