Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, June 24, 2012

Hilda Edward ndiye Miss Dar Inter College 2012


Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akipongezwa baada ya kushinda kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu.
Hapa Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi. Picha kwa hisani ya http://bongostaz.blogspot.com/
Hii ndiyo tano bora  Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward
DIAMOND PLATINUM;  Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu
INAUMA UCHUNGU; Katikati Jaji Wema akifuatilia kwa hisia zote kibao Wema Wangu wakati Diamond the Platinum anat

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...